Hadithi isiyo na mwisho na hadithi nyingine By Baruch
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaHadithi isiyo na mwisho na hadithi nyingine By Baruch Details
Katika hiki Kitabu cha Hadithi Isiyo Na Mwisho, mna hadithi fupi fupi ambazo zitaangazia wanafunzi mengi kuhusu lugha ya Kiswahili. Hiki kitabu kimetungwa kusaidia mwanafunzi kujifunza Kiswahili katika hali ya kujiburudisha. Kuna mengi ya kujifunza toka lugha, msamiati na hata utumishi wa misemo na methali. Mitindo tofauti ya ubunifu iliyotumiwa itawezesha mwanafunzi kuelewa mengi.
ISBN: 996671773 SKU: 2010143000777