Msiba wa Kujitakia 7f By Pauline Kea Kyovi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Msiba wa Kujitakia 7f By Pauline Kea Kyovi Details


"Sitaki ucheze na Neema. Si leo na si milele," Mwanakombo aliagizwa. Moyo ulimpapa Mwanakombo. Maneno ya babake yalimtoa furaha yote na nafasi ya furaha yake ikatwaliwa na huzuni. Mwanakombo anashindwa kuelewa sababu ya yeye kukatazwa kutangamana na rafiki yake. Haelewi ni kwa nini babake anabadilika ghafla na hata kuwapangia njama majirani zao. Je, yaweza kuwa ni msiba wa kujitakia? Msiba wa Kujitakia ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya Dada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 9780195741995 SKU: 2010143000752