Kijana Mpelelezi By K W Wamitila

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kijana Mpelelezi By K W Wamitila Details


Kangwana na Maria wanaalikwa na shangazi yao kumtembelea wakati wa likizo. Lakini wanapofika huko wanakumbana na mambo mengine kuihusu nyumba ya shangazi. Kangwana, ambaye ni mpevu wa umri, anaamua kufanya uchunguzi kuihusu nyumba hiyo. Soma kisa hiki cha kuburudisha ujue nyumba hiyo ina nini. Je, ni siri gani ambayo imefichwa kwa miaka mingi? Je, mwisho wa kisa chenyewe ni nini?

ISBN: 9789966773197 SKU: 2010143000350