Darubini ya Sarufi By Assumpa k.Matei

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Darubini ya Sarufi By Assumpa k.Matei Details


Sarufi ndio uti wa mgongo wa lugha. Kwa mtazamo wake na kinachostahili kufunzwa katika ngazi tofauti umekuwa ukibadilika haraka. Matokeo yamekuwa utata mwingi unaowakumba wanafunzi na kwa kiasi fulani waalimu wao. Darubini ya Sarufi kimeandikwa kwa madhumuni ya kushughulikia utata huu na kuboresha matumizi sanifu ya sarufi ya Kiswahili. Pamoja na maelezo na mifano maridhawa, kumetolewa pia mazoezi ya kutosha ya kumsaidia mwenye kukitumia kujitathmini. Kitabu hiki kitakuwa chenye manufaa kwa wanafunzi wa shule za upili na vyuo anuwai. Vilevile kitamfaa mpenzi yeyote wa lugha ya Kiswahili aliye na maswali kuihusu sarufi ya Kiswahili.

ISBN: 9789966471529 SKU: 2010127000320