Kufa Kuzikana By Ken Walibora
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaKufa Kuzikana By Ken Walibora Details
Ni hadithi ya urafiki kati ya vijana wawili, Akida na Tim, wanaotokakwenye makabila yenye uadui.Ni hadithi ya migogoro, migongano, vikwazo na vizingiti katika uhusianowao.Je, urafiki wao huo unaweza kuvistahimili vishindo hivyo?Je, ni urafiki wa kinafiki au una nguvu ambazo havishindiki?Inasimulia masuala nyeti kama vile ukabila na utamaduni, maadili namapenzi, usawa wa kijinsia na uhuru wa mtu binafsi, kwa uwazi na uchesiwa kupigiwa mfano.
ISBN: 9789966497543 SKU: 2010143000058