KCSE Golden Tips Stadi za Uandishi wa Insha By Mutali

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

KCSE Golden Tips Stadi za Uandishi wa Insha By Mutali Details


K.C.S.E. Stadi za uandishi wa Insha ni kitabu ambacho kimetayarishwa kwa ufundi mkubwa ili kumwelekeza mwanafunzi anayejiandaa kufanya mitihani ya Insha kwa njia rahisi na ya kuchangamsha. Baadhi ya mada maalumu ambazo zimeshughulikiwa ni pamoja na:Vidokezi muhimu katika kuboresha insha yakoMaelezo na mifano mwafaka ya insha zinazofaa kushughulikiwa katika shule za upili kwa mujibu wa silabasi

  • Tungo za kiuamilifu
  • Mtungo wa kitaaluma
  • Tungo za kubuni
  • Mwongozo wa kusahihishia insha za K.C.S.E.
  • Kielelezo cha utahini
  • Maswali ya mazoezi ya kila aina ya insha
  • Ufafanuzi wa utaratibu na jinsi ya kujibu maswali
ISBN: 9789966344038 SKU: 2010127000464