Chungu cha Zai ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zilizochapishwa na KLB. Hadithi hii inawalenga watoto wa darasa la tano.Katika hadithi hii, jitu moja liiiishi kwenye msitu karibu na kijiji cha Tisha. Wanakijiji wa Tisha walihofia maisha yao. Kwa mfano, hawangeweza kupanda miti kwenye msitu huo kwa minajili ya kuzuia jangwa. Pia, watoto wao walizuiliiwa kwenda shuleni kwani shule yao ilikuwa ng'ambo ya pili ya msitu huo. Je, maisha ya wanakijiji yaliokolewa vipi na Zai kijana hodari?
ISBN: 9789966447685 SKU: 2010143000544