Ngoma ya Muujiza By Timothy Wasike
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaNgoma ya Muujiza By Timothy Wasike Details
Ngoma ya Muujiza ni mfululizo wa hadithi mbalimbali zenye burudani kemkem na mafunzo yenye maadili kabambe. Hadithi hizi zimetuama katika kusimulia asili na historia ya vitu na maumbile yavyo.Wahusika wa hadithini wameelezwa vyema na kusawiriwa kwa usanifu mkubwa ili kudhihirisha sifa zao.Hadithi hizi zitawasaidia wasomaji na wanafunzi wa Kiswahili katika kujenga lugha na maadili mema.
ISBN: 9789966363626 SKU: 2010143000588