Kifo cha Mwalimu By Anduvate K.Mwavali

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kifo cha Mwalimu By Anduvate K.Mwavali Details


... Ikiwa elimu ni ufunguo wa maisha, na walimu ndio wenye ufunguo huo, mbona wasifaidi mema yote ya elimu hiyo duniani?Wasemao husema eti ualimu ni mwito unaohitaji ukakamavu na maadili yasiyotikisika. Eti hakuna anayeweza kumlipa mwalimu hapa duniani. Malipo yake yameandaliwa mbinguni! Swali ni je, ni nani awezaye kuubeba mzigo wa mwalimu huku tumbo likiwa wazi.' Je, wafanyikazi wengine hawatalipwa mbinguni?

ISBN: 9789966228703 SKU: 2010143000626