Furaha ya Arope 3f By Ken Walibora

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Furaha ya Arope 3f By Ken Walibora Details


Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ill apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuja shuleni kwa kina Arope. Mgeni huyu anafanya mambo ambayo yanampatia Arope furaha kubwa. Mwishoni Arope anakuwa 'Arope wa Kitabuni'.

ISBN: 9780195739831 SKU: 2010143000754