Pendo la Karaha By John Habwe

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Pendo la Karaha By John Habwe Details


Pendo la Karaha ni hadithi ya kusisimua iliyosheni chuku na majuto. Kupitia Kudra, mwandishi anasimulia changamoto zinazowakumba vijana wanaotoroka kero ya umaskini barani Afrika na kuhamia katika nchi za ughaibuni; wanakokwenda kuzumbua riziki. Uamuzi wa kuchupia maisha hayo yanayodhaniwa matamu, lakini yaliyo na uchachu mkali unawajutisha. Kudra amenaswa na ulimbo huo. Je, atajipapatua?

ISBN: 9789966347459 SKU: 2010143000786