Kiswahili Kidato Cha 1 By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kiswahili Kidato Cha 1 By Details


Hili ni toleo jipya la Kiswahili kwa Kidato cha Kwanza, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002 ya Kidato cha Kwanza. Katika toleo hili, maelezo zaidi juu ya nyanja mbalimbali za lugha yameshughulikiwa kama vile, mpangilio mpya wa ngeli, kusoma kwa kina, na msamiati na istilahi kimuktadha. Pia, maswala ibuka kama vile maadili, UKIMWI na mazingira yamejitokeza. Mifano zaidi, michoro na picha zimetumiwa ili kufanya somo hili  liwe Ia kuvutia. Ni kitabu ambacho wanafunzi watafurahia kukitumia.