Ngoma za Uchawi By
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaNgoma za Uchawi By Details
Ngoma za Uchawi ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zilizochapishwa na KLB. Hadithi hii ya kusisimua inawalenga wanafunzi wa darasa la saba. Hadithi hii inasawiri maisha ya ujana na ngoma za namna yake ambazo huchezwa na vijana. Ngoma hizi huenda zikamroga kijana fulani. Je, Shakia na Simbauni wamerogeka vipi?