Doa la Mauti By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Doa la Mauti By Details


ijapokuwa DOA LA MAUTI kinaongelea juu ya mapenzi, vifo na maisha ya watu kwa jumla, habari zake bila shaka zitakuwa na mafundisho mzomzo juu ya maumbile ya maisha, hasusi kwa vijana walio mashuleni na wale watokao na kuanza kuingilia starehe kwa pupa. Wasomaji wengine watashangaa kuona habari zinazosimuliwa kitabuni humu zinagusa sehemu fulani ya maisha yao, au ,vataziona zinakuwa mathalani ya lebasi, hatimaye zikawavaa na kuwachukua.