Salamu Kutoka Kuzimu By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Salamu Kutoka Kuzimu By Details


Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo ambayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja "Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti," anasema akichekelea. "Sijawahi kushindwa ..." Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta Kombora machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.