Kisa cha Kuku na Mwewe By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kisa cha Kuku na Mwewe By Details


Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifurtza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni lie yenye kuvutia na hadithi zenyewe ni za kuburudisha. Hapo kale Mwewe na Kuku walikuwa marafiki wa kufa kuzikana.lakIni urafiki wao ullgonga 'mamba siku moja na wakawa maadui wakubwa. Kisa kilichosimuliwa katika kitabu hiki kinafichua kiini cha uadui huo. Msomaji pia anafunzwa mengi na kisa hicho kuhusu maisha.