Watoto wa Mvuvi By
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaWatoto wa Mvuvi By Details
Kabla hata hajapata mtoto, Shangasa aliuchukia umasikini. Siku moja alimfuata mganga maarufu wajadi, jina lake Deberi. Watu wengi walimsifu Deberi kwa utabiri na dawa zake zenye kuleta bahati. Lakini miujiza hiyo haikuwa na maana, ball mazingaombwe tu. Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza.