Mama Mwizi By
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaMama Mwizi By Details
Juma na Maria wanabaki nyumbani baada ya wazazi wao kwenda kwenye sherehe. Wanaondoka kwenda kununua peremende. Barabarani walimwona mama mjamzito akisukumwa nje kutoka garini ndogo. Juma na Maria wanaamua kumsaidia. Baadaye, Juma na Maria wanashangaa wanapogundua kuwa mama huyo...