Tumbili na Mkia wake 5E By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Tumbili na Mkia wake 5E By Details


Dawa ya deni ni kapipa. Mtu anapotoa ahadi fulani kwa yeyote yule, hana budi kuitimiza. Kitabu hiki kinaeleza wazi janga lililompata `Mfalme' fulani baada ya kutotimiza ahadi aliyoitoa kwa raia wake. Kitabu hiki kimekusudiwa kuwasisimua watoto, kuzua uzoefu wa kusoma na vilevile, kuimarisha mbinu za uandishi na uzungumzaji miongoni mwa mengine.