Visa vya Jumbe A By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Visa vya Jumbe A By Details


Visa vya Jumbe ni mfululizo wa hadithi za maisha ya mvulana mdogo ambaye aliyeitwa Jumbe. Hizi ni hadithi za kupendeza. Zinazimulia habari za Jumbe tangu alipozaliwa hadi kufikia umri wa miaka miwili na nusu. Je, ni mambo gani yaliyompata? Ili kuyajua hayo na mengi mengine, endelea pia na kusoma visa vingine vya Jumbe na kuendelea. Karibuni!