KiswahIll Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata uhalisi wa lugha katika stadi za kusikiliza. kuzungumza. kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza Lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu mosualaibuka. Kiaswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Mwongozo wa Mwalimu. Gredi ya I kina mifano halisi no yo kutosho kumwezesha mwalimu kuwasaidia wonafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
• utangulizi wa kina kuhusu mtotaa huu mpya wa umilisi
• muhtosari wa umilisi, maadai. masualaibuka no shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kilo surd
• matokeo maalumu, maandalizi ya somo no shughuli zo ufunzaji wo kilo somo
• mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitobu cha Mwanafunzi
• mopendekezo yo shughuti za wonafunzi nje yo darasa
• maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wonafunzi.
Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi pomojo no Mwongozo wa Mwalimu vino shughuti. mazoezi no maelekezo tosha ambayo mwanofunzi no mwalimu watohitaji ili kufautu katika mtataa huu mpya wo
Oxford. chaguo lakol