Soma Nasi Kusoma na Kuandika Teachers Guide Grade 2 By Oxford

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Teachers Guide Grade 2 By Oxford Details


Soma nasi. Kusoma na Kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitio stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utaopendekezwa. maadili na kufahamisha kuhusu masuataibuka.
Soma nasi. Kusoma na Kuandika Kiswahili. Mwongozouua Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano hatisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

  • utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • muhtosari wa umilisi. maadili, masualaibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila sura matokeo maalumu.
  • maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kilo somo mapendekezo ya majibu ya maswati yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje yo darasa maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

    Soma nasi. Kusoma na Kuandika Kiswahili. Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli. mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji iii kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

    Oxford. chaguo lako!
ISBN: 9780195746983 SKU: 2010127000707