OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 approved By a href="/search/?q=Waititu/Matei/Mbugua&cate

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

OUP Kiswahili dadisi Mazoezi ya Lugha gredi 3 approved By a href="/search/?q=Waititu/Matei/Mbugua&cate Details


Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi iliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masuala ibuka. 

Katika Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzl. Gredi 3. utapata: 

• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtataa mpya 

• mifano halisi ya miktadha ambapo hutumika 

• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja 

• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi iii kuimarisha uwajibikaji. 

ISBN: 9780195746846 SKU: 2010127000702