Kurunzi yo Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Totu kimeondoliwo kwo ustadi ili kumwezesho mwonofunzi kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa njia sahili. yenye mvuto na ya kumjumuisho moja kwo mojo kwenye shughuli za ufunzaji.
Sifa za kitabu hiki
• Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inomwezesho mwanafunzi kushiriki kikamilifu kotiko ujifunzop.
• Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanalunzi umilisi wa ama mbalimbali.
• Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho we made) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
• Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewo wa mada.
• Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ufunzaji.
• Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani. shughuli nje yo darasani katika jamii (shambani,dukonissokomosaf). kumwolika mgeni (wa usalama.usafi. mtaalamu). kutumia nyimbo,mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji no unfunzaji kotiko vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
• Masuala mtambuko no kuhusisho moadili kujengo modo tofouti imeshughulikiwa.
• Kitabu cha mwalimu kipo iii kumpa mapendekezo katika ufunzaji.