Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na Hadithi Nyingine (climax) By a href="/search/?q=Samson%20Kea&category

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na Hadithi Nyingine (climax) By a href="/search/?q=Samson%20Kea&category Details


Mwongozo huu wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine umeandikwa na paneli ya Kiswahili ya Kitele cha Lugha, iliyoko mjini Nairobi. 

Paneli hii inajumulisha waalimu woliobobea katika kufunza na kutahini mtihani wa kitaifa wa somo la fasihi. 

Mwongozo huu unalenga kuwasaidia waalimu  na wanafunzi wa shule za upili katika kuelewa mkusanyiko wa hadithi fupi na pia kuwasaidia kuitayarisha katika mtihani wa kitaifa (K.C.S.E) 

Mwongozo huu umejadili; 

Ufaafu wa anwani 

Mtiririko wa vitushi 

Dhamira 

Maudhui

Mbinu za uandishi 

WahusIka na sifa zao 

Mifano ya Maswali na Majibu 

ISBN: 2010129000209 SKU: 2010129000209