Mkono wa Sheria By Naomi Musembi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Mkono wa Sheria By Naomi Musembi Details


Musa Kibaya anatimuliwa kutoka shule yoke ya sita. Anahisi kwamba hii ni rekodi katika umri wake wa miaka kumi na mitano pekee. ingawa kwa namna fulani anaionea fahari. Hofu yake to ni jinsi Mjomba wake. SiIasi, atakavyolichukulia suala hili ... 

Silasi anapogundua kutimuliwa kwake, anampeleka Musa katika shule yoke ya saba. Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Kumbe, hapo ndipo vituko vya Musa vinapoanza. 

Musa ni kitabu cha kwanza katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa no Barbara Kimenye. 

ISBN: 9789966257352 SKU: 2010143000657