Nagona By E. Kezilahabi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Nagona By E. Kezilahabi Details


Nagona ni riwaya inayothibitisha upevu wafalsafa ya Kezilahabi kuhusu dhana ya maisha. Katika riwaya hii. maisha vanasawiriwa katika mtazamo wa dhihaka na kejeli. Ndiyo maana mwandishi anatega kitendawili kwamba waliobahatika kuishi, "...walikufa katika vurumai. Walikufa wakieheka Kali wameshikilia mbavu zao kwa viehomi. Baadhi walikanyagwa kanyagwa, wakafa wakieheka. Wengine... walitumbukia katika kisima cha ndoto zao wakafa kwa wingi wa ndoto walizokunywa...." Hakika kitabu hiki kinaweza kutazamwa kama riwaya ya 1 zingile' kutokana na kushabihiana kwa dhamira zake zinazochambua suala gumu la kifalsafa lionyehalo maana ya maisha. Hii ni riwaya a itakayopendwa na wanafasihi wapevu, mashuleni, vyuoni na kadhalika. 

ISBN: 9789966773746 SKU: 2010143000827