KCPE Score More Kiswahili By Douglas H. Wangira

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

KCPE Score More Kiswahili By Douglas H. Wangira Details


KCPE SCORE MORE KISWAHILI kitabu cha marudio kilichoandikwa kwa mujibu wa silabasi kuanzia Darasa la Nne hadi la Nane. Hii ni hidaya adhimu yenye lengo la kumwandaa mwanafunzI wa Darasa la Nane kwa mtihani wa kitaifa.

Upekee wa kitabu hiki ni:

  • Kinamwelekeza mwanafunzi kuwa na ung'amuzi wa mawanda ya ngeli 
  • Weledi wa kutawala safu ya sarufi 
  • Msamiati teule wa kumfanya mwanafunzi kuwa mahiri na mwenye kutopea katika matumizi yake 
  • Faslu nzima Inayomshirikisha mwanafunzi katika ufahamu olio bora 
  • Mwongozo wa kuandika Insha sheshe pasi na hatihati wale klkweukweu 
  • Maswali kila baada ya kipengele yanaitosheleza jazba ya mwanafunzi mrejelewa 
  • Vielezo vya mtihani wa KCPE vinavyotoa picha halisi ya mtihani wa kitaifa. 

Waandishi wa kitabu hiki cha marudio ni walimu na watahini wenye tajriba pana ambao wamefundisha katika shule zinazoongoza nchini. 

 

ISBN: 9789966066053 SKU: 2010127000628