Kaza Macho By Vide-Muwa

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kaza Macho By Vide-Muwa Details


Kau, Macho ni mkusanviko wa mashairi yanayoonyesha upeo wa juu wa kipawa elta utunzi alichonacho intunzi wa mashairi yaliyomo. Mashairi haya yametumia lugha ya kitamathali itakayomwaehia msomaji taathira ya kudumu kwa namna yanavyozigusa hisia mbalimbali za msomaji. Mashairi katika diwani hii yanaangazia mawanda yote ya maisha ya watu kwa jumla, hasa katika bara in Afrika, yakipiga darubini ndoto na matamanio yao, kadhia za maisha yao kijamii, kisiasa, kiuchumi na kihistoria. Hii ui kazi ambayo hataiweka chini yeyote aanzapo kuisoma Nadi atakapolisoma shairi in mwisho. 

ISBN: 9789966773968 SKU: 2010129000190