Safari ya Garimoshi na Hadithi nyingine By Damian Jaha
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaSafari ya Garimoshi na Hadithi nyingine By Damian Jaha Details
Safari ya garimoshi no hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kadhaa za kuvutia. Hadithi zenyewe zinawalenga wasomaji wa madarasa ya chini. Lugha no msamiati utiotumika utawasuidia mno wanafunzi kujiimarisha katika kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika.
ISBN: 9789966188533 SKU: 2010143000893