Hamnazo na Hadithi Nyingine By Queenex

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Hamnazo na Hadithi Nyingine By Queenex Details


"Leo nilikuja ofisini mwako kukuletea zawadi ya shilingi milioni moja taslimu. Usiku mwema." Ni nani huyu aliyekwenda ofisini kupeleka zawadi hii? Naye alikuwa anampelekea nani? Kwa nini akajishinikiza kupeleka zawadi kubwa kadiri hiyo? Majibu ya maswali hayo hayapatikani pengine popote ila katika hadithi hii ya Hamnazo. 

 

ISBN: 9789966075284 SKU: 2010143000854