Tafakari ya Babu By Moran

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Tafakari ya Babu By Moran Details


Tafakari ya Babu ni mkusanyo wa visa vifupivifupi ambavyo Bwana Mdoe ameshasimulia ama atasimulia wakati wa kusoma habari. Visa vilivyomo katika kitabu hiki vinasheheni mafunzo mengi mbali na ucheshi wa kuvunja mbavu. Watu wengi wametaka kujua, "Je, huyu babu yako Bwana Mdoe ni mtu halisi anayeishi ama ni mhusika wa kubuni?" Huenda msomaji akang'amua jibu la swali hili na mengineyo baada ya kusoma kitabu hiki... 

ISBN: 9789966343314 SKU: 2010143000529