Safari ya Mabwe By Queenex

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Safari ya Mabwe By Queenex Details


Tausi na nduguye Majuto ambao ni machokoraa wanagundua chombo cha ajabu kwenye biwi la taka. Wanapoingia ndani hawatoki tena. Wanatekwa nyara na viumbe wa ajabu na safari ya Mabwe inaanza, safari ya kuelekea sayari ya Mirihi. le vijana hawa watafanikiwa kurejea duniani? Safari ya Mabwe ni hadithi ambayo imesukwa kwa utaalamu usio kifani. Hebu fungua ukurasa wa kwanza uanze kusoma. 

ISBN: 9789966075543 SKU: 2010143000883