Jicho La Ndani By Said A. Mohamed

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Jicho La Ndani By Said A. Mohamed Details


Katika diwani zake za nyuma — Sikate Tamaa na Kina cha Maisha — mshairi huyu. Said A. Mohamed, ameonyesha kukerwa na kujishughulisha sana na matatizo yanayotokea katika nchi yake na Afrika kwa ujumla. Katika diwani hii tunaweza kumwita "mwenyeji" na "mlimwengu" kwani baadhi ya mashairi yake katika diwani hii ni yenye maudhui yanayoakisi matatizo ya dunia yetu nzima hivi leo. Zaidi ya hayo, mshairi huyu amejishughulisha na maswala ya "mapenzi" na ''unyumba". 

 

SKU: 2010143000069