Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunzo. Pia vinakura umili uliopendekezwa, maadili kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi. Gredi 2. utapata :
-mada zilizopangwa Kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
-mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
-mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
-Jinsi ya kuwashirikisho wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji
ISBN: 9780195746839 SKU: 2010127000765