Soma nasi Kusoma na Kuandika Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2 By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Soma nasi Kusoma na Kuandika Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2 By Details


Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiwiahili ni msururu wa vitabu vipya vitivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtataa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza. kusoma no kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utiopendekezwa, maaditi na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili, Kitabu cha Muranafunzl, Gredi 2, utapata:

 • mada zitizopangwa kwa kuzingatia mtataa mpya 

• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika 

• mazoezi nje ya darosa iii kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughull za kijamii zinazokuza ujifunzaji 

• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja 

• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na watezi iii kuimarisha uwajibikaji 

• sehemu ya Tujifurahishe'inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanopotumia lugha. 

 

ISBN: 9780195746952 SKU: 2010127000727