Binti Mrembo Aliyelala By Ladybird

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Binti Mrembo Aliyelala By Ladybird Details


Hadithi za 'Ladybird' zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za 'Well-Loved Tales' ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana. 

Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambapo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi pa Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi. na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja. 

 

ISBN: 9780241331958 SKU: 2030303007039