OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 (Approved) By a href="/search/?q=Inyega%20et%20al.&category=1

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 (Approved) By a href="/search/?q=Inyega%20et%20al.&category=1 Details


Soma Nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza,

kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza pamoja na kuwa vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na pia kufahamisha kuhusu masualaibuka.

ISBN: 9780195746945 SKU: 2010127000769