Kamusi Pevu ya Kiswahili By KLB
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaKamusi Pevu ya Kiswahili By KLB Details
Kamusi Pevu ya Kiswahili (KPK) ni kamusi mufti yenye kina na undani wa kupigiwa mfano na inayoeleza maneno kwa mtindo rahisi kueleweka. Hii ni kamusi ambayo ina idadi kubwa sana ya maneno yanayopatikana katika maandishi na mazungumzo katika lugha ya Kiswahili. KPK ni kimbitio muhimu kwa mwanafunzi, mwalimu na mtaalamu na mtumiaji yeyote wa lugha ya Kiswahili.
ISBN: 9789966500090 SKU: 2010127000675