Distinction KCPE Kipeo cha Kiswahili By Munene

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Distinction KCPE Kipeo cha Kiswahili By Munene Details


Distinction KCPE Kipeo cha Kiswahili ni kitabu bora zaidi kilichoandikwa kwa ustadi, uzingatifu na umanikinifu wa hali ya juu upeo. Kitamwezesha mwanafunzi kuwa na ufasaha na uhamilisi mkubwa wa lugha na kitamwandaa kukabiliana vilivyo na mitihani hasa KCPE.

Sifa za kipekee za kitabu hiki:

  • Kimeshughulikia kikamilifu silabasi yote ya Kiswahili tangu darasa la kwanza hadi la nane.
  • Kimepangwa vizuri na kwa utaalamu, hatua kwa hatua.
  • Kimepangwa vizuri na kwa utaalamu, hatua kwa hatua.
  • kimetumia lugha pevu inayoeleweka kwa urahisi bila utata.
  • Kimegawanywa katika sura sita: Sarufi, Kusikiliza na Kuongea, Msamiati, Mitungo, Ufahamu na Karatasi za Majaribio.
  • Kina mazoezi kemkem baada ya kila mada na mwishoni mwa kila sura kumwezesha mwanafunzi kufanaya marudio.
  • Karatasi za majaribio (15) zimetungwa kitaalamu kwa kuzingatia muundo wa KCPE.Aidha, stadi zote za utahini; Ujuzi,Ufahamu, Matumizi, Uchanganuzi, Usanisi na Tathmini zimeshughulikiwa.
ISBN: 9789966195524 SKU: 2010127000756