Baba na Mwana By Akberali Manji

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Baba na Mwana By Akberali Manji Details


" ... Mama Vero alipumua mfululizo, akatikisa kichwa na kusema.

"Nashidwa kuyaamini maskio yangu.Jina ulotaja nalifahamu."

Ochieng aliinuka ghafla. Moyo wake ulimdunda sana.

Akawa kama tayari amemwona baba yake...

Je, Ochieng alipata kumwona baba yake? Soma ili upate kujua iwapo ndoto ya Ochieng ya kumwona babake ilitimia au la.

ISBN: 9789966226969 SKU: 2010143000636