Hidaya Yangu By John Habwe
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaHidaya Yangu By John Habwe Details
Hidaya yangu ni hadithi ya Dena ya kujisaka ili kujielewa anapopata anatapatapa katika
ulimwengu uliojaa masaibu mengi, ubaguzi na maudhi ya kutokuwa na mama wala baba.
Ni hadithi ya kuchakira, kuliza na hata katamausha. Hata hivyo,
Dena anasimama kidete na kupigana dhidi ya changamoto za maisha kufa kupona.
Anakataa kukubali kushindwa licha ya doa la usuoi wake.
Ni hadithi inayosisitiza ukweli kwamba mungu akikupa kilema hakupa mwendo pia