Shangazi Katili By

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Shangazi Katili By Details


Makena anayoishi maisha ya mateso chini ya shangazi yake. 
Juhudi za majirani kumwokoa zinashindwa hasa kwa sababu Makena hajamini. 
Angamini yeye ni yatima baada ya kuwapoteza wazazi wote ajalini. 
Hadi siku anapokipata kipande cha barua kutoka kwa baba yake wakati anatua nguo za shangazi. 
Soma hadithi ushuhudie jinsi anavyosaidiwa na marafiki kumtafuta babake na kuyatoroka mateso ya shangazi katili
Kariuki Wangai ni mhariri wa vitabu mwenye uzoefu wa miaka mingi. Hiki ndicho kitabu chake cha kwanza kwa watoto
 

SKU: 2010143000879