Kosa La Nani (Vide-Muwa) By Amir Swaleh

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Kosa La Nani (Vide-Muwa) By Amir Swaleh Details


Kosa la Nani? na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na watunzi wenye tajriba pevu katika fani ya hadithi fupi, pamoja na waandishi wanaoinukia kwenye medani ya utunzi. Sifa ya jumla ya mkusanyiko huu ni kuwa kila hadithi ina upekee wake kimaudhui, kimtindo na kimkabala, kutegemea tajriba za kimaisha za watunzi wenyewe. Huu ni mkusanyiko utakaomvutia msomaji.

ISBN: 9789966500113 SKU: 2010143001057