Mwongozo wa Kigogo (Climax) By Muhenje

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Mwongozo wa Kigogo (Climax) By Muhenje Details


Mwongozo huu unajumulisha vitabu 3 vikiwemo:

1. MWONGOZO WA KIGOGO - PAULINE KEA (STORY MOJA)

2. NAMNA YA KUJIBU MASWALI YA KISWAHILI (K.C.S.E 102)

3. MIFANO YA MASWALI NA MAJIBU MWAFAKA

Vitabu hivi vimeandikwa na waalimu waliobobea katika kufunza na kutahini mtihani wa kitaifa wa somo la fasihi (K.C.S.E).

MWONGOZO WA KIGOGO unalenga kuwasaidia wanafunzi wa shule za upili kuelewa tamthilia ya Kigogo yake Pauline Kea (Story Moja) na pia kuwasaidia kujitayarisha katika mtihani wa kitaifa (K.C.S.E).

Kitabu cha MIFANO YA MASWALI NA MAJIBU MWAFAKA kina maswali yaliyojibiwa ili kumuezesha mwanafunzi kujua jinsi ya kijibu maswali kulingana na matarajio ya mtahini.

SKU: 2010129000210