Pendo na Tendo By Atibu Bakari
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaPendo na Tendo By Atibu Bakari Details
Pendo na Tendo ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Hadithi hii ya kusisimua inawalenga wanafunzi wa darasa la kwanza. Sisi ni Pendo na Tendo. Tunapenda mazingira yetu. Jiunge nasi kuimarisha mazingira yetu.
ISBN: 9789966448484 SKU: 2010143000577