Siri ya baba yangu Kitabu cha pili By Yahya Mutuku
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaSiri ya baba yangu Kitabu cha pili By Yahya Mutuku Details
Fadhili amefanikiwa kuungana na mtu anayeamini ni baba yake mzazi. Ni mtu mwenye heshima na hadhi katika jamii, mtu anayesifiwa sifa zisizo za kawaida. Fadhili anatilia shaka sifa hizi na pindi wanaposafiri hadi pwani ndipo kiu ya kujua ukweli inapomzidia. Je, ni siri gani aigunduayo Fadhili kumhusu baba yake? Fungua ukurasa wa kwanza uanze kusoma.
ISBN: 9789966115003 SKU: 2010143000928