Panya na Chura By Muchemi
by sava in Text book centre buy now Publishered by: savaPanya na Chura By Muchemi Details
Chura na Panya ni majirani. Panya anamwalika Chura nyumbani kwake kisha urafiki wao unaanza moja kwa moja. Je, urafiki huu umejikita kwenye ukweli na uaminifu au la? Soma hadithi hii ili upate uhondo kamili.
ISBN: 9789966621269 SKU: 2010143000906