Msururu wa Mbayuwayu: Ipo siku By Dowa

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Msururu wa Mbayuwayu: Ipo siku By Dowa Details


Natija na faraja vyote hutoka mbali. Nikipiga darubini nyuma ninaona jinsi maisha yalivyonidunga miiba mikali kila sehemu ya mwili wangu. Zipo siku nilikuwa ninatumia mbalamwezi kutalii vitabu vyangu usiku baada ya kukosa mafuta taa. Mwangaza hafifu nilioutumia pamoja na moshi uliotoka kwenye koroboi nilipokuwa nikisoma usiku, viliyaharibu macho yangu hadi leo ninavaa miwani...

ISBN: 9789966075888 SKU: 2010143000938