Koko riko aokoa wenzake By Muchemi

by sava in Text book centre buy now Publishered by: sava

Koko riko aokoa wenzake By Muchemi Details


Mtangazaji wa redio anaonya mvua itakosekana na chakula kupunguka. Koko Riko anaanza kuweka chakula. Wanyama wanapuuza onyo la njaa. Wanaendelea kuburudika wakimcheka Koko Riko. Muda si muda, wanyama wanapatwa na njaa kali. Je, Koko Riko atawagawia chakula? Soma hadithi upate uhondo.

ISBN: 9789966066732 SKU: 2010143001020